Na Kitengo cha Mawasiliano
Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba imepokea vifaa vya ufundishaji kutoka mradi wa Jifunze Uelewe USAID kwa ajili ya watoto wenye mahitaji maalum katika shule ya msingi Mjimpya Maalum iliyopo kata ya Tandahimba
Akipokea vifaa hivyo Septemba 29,2022 kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji ,Mkuu wa Idara ya Elimu Awali na Msingi Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Ndg.Samweli Mshana amesema vifaa hivyo vitatunzwa na kutumika kama ilivyokusudiwa
Naye Bi. Maria Nchimbi Mtaalamu wa Elimu maalum na Mahusiano ya Jamii wa Mradi wa Jifunze Uelewe amesema kuwav walitoa mafunzo kwa walimu na leo wanakabidhi vifaa ambavyo ni laptop mbili(2) na Tv ili zisaidia katika ufundishaji
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa