Na Kitengo cha Mawasiliano
Hakimu Mkazi Mfawidhi Wilaya ya Tandahimba Mhe.Joseph Waruku leo Disemba 16,2023 amemuapisha Mhe.Juma Chibwana Mun’dedu (CCM) Diwani Kata ya Mndumbwe Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba
Hafla hiyo ya uapisho imefanyika katika ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba
Mhe.Mun’dedu aliibuka mshindi katika uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Mndubwe uliofanyika Disemba 17,2022 baada ya aliyekuwa Diwani wa Kata hiyo Mhe.Juma Likapa Nangololo kufariki dunia Mei 12,2022
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa