Na Kitengo cha Mawasiliano
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba limemchagua Diwani wa Kata ya Luagala Mhe.Rehema Liute kuwa Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba
Zoezi hilo limefanyika leo Agosti 18,2022 baada ya madiwani kuwasilisha taaarifa zao za Maendeleo ya kata kwa kipindi cha robo ya nne katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri
Baraza la madiwani,Menejimenti na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba wanampongeza Mhe.Liute kwa kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti na wanamtakia utekelezaji mwema wa majukumu yake
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa