Na Kitengo cha Mawasiliano
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Ndg.Mariam Mwanzalima akiwa na baadhi ya wataalamu Agosti 25,2024 ametembelea na kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Shule Mpya ya Sekondari Kata ya Mahuta inayotekelezwa kwa gharama ya Tsh.Mil 560.5 fedha kutoka Serikali Kuu kupitia mradi wa SEQUIP
Akiwa katika mradi huo Mkurugenzi amewasistiza Fundi viongozi kukamilisha mradi huo kwa wakati na ubora
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa