Na Kitengo cha Mawasiliano.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo Madarasa,Vyoo ,Maji , na barabara inayotekelezwa katika Wilaya hiyo.
Katika Ziara hiyo DED Mwanzalima amewataka wasimamizi wa Ujenzi huo kuhakikisha inakamilika kwa wakati na kutokuwepo visingizio.
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa