Na Kitengo cha Mawasiliano
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Ndg.Mariam Mwanzalima akiwa na baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo ametembelea miradi ya ujenzi wa vituo vitano vya afya ambapo Jumla ya Gharama zilizotumika katika vituo hivyo ni shilingi Bil 2.3
Ziara hiyo imefanyika Juni 22,2023 ambapo vituo vilivyotembelewa ni Kituo cha afya Mihambwe gharama ya mradi shilingi Mil 500,Litehu gharama ya mradi shilingi Mil.500,Mambamba gharama ya mradi shilingi Mil.500,Maheha gharama ya mradi shilingi Mil.400 na Kitama gharama ya miradi shilingi Mil 400
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa