Na Kitengo cha Mawasiliano
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba ACI.Mariam Mwanzalima Oktoba 26,2023 ametembelea na kukagua Maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa Chuo Cha Ufundi VETA kilichopo Kitama ambapo amewataka Wahandisi kuongeza kasi katika utekelezaji wa mradi huo ili ukamilike kwa wakati.
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa