Na Kitengo cha Mawasiliano.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba ACI.Mariam Mwanzalima Oktoba 23,2024 akiwa na baadhi ya Wakuu wa Idara amefanya ziara ya kukagua mradi wa ujenzi wa Bweni la Wasichana Shule ya Sekondari Luagala wenye gharama ya Tsh.Milioni 150 na mradi wa Ujenzi wa nyumba ya Walimu (2 in1) Shule ya Sekondari Litehu Modern wenye gharama ya Tsh.Milioni 95 ambapo miradi yote ipo kwenye hatua ya ukamilishaji.
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa