Na Kitengo cha Mawasiliano.
Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Patrick Sawala akimsalimu Mtoto Witnesses Mwakagugu ambae ni miongoni mwa Wanafunzi watano waliopata majeraha kidogo baada ya Mvua kubwa iliyoambatana na Upepo Kubomoa vyumba Viwili vya Madarasa Shule ya Msingi Litehu.
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa