Na Kitengo cha Mawasiliano
Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe. Kanali Patrick Sawala akiwa pamoja na kamati ya Ulinzi na Usalama pamoja na timu ya Menejimenti amefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo
Katika ziara hiyo ambayo imefanyika Agosti 26,2022 Dc Sawala amesistiza miradi hiyo ikamilike kwa wakati na ubora unaotakiwa ili iweze kutumika
Miradi ambayo imetembelewa ni Shule Ujenzi wa vyumba vya madarasa shule ya Msingi Mji Mpya,Ujenzi wa nyumba za watumishi (3 in 1) katika eneo la Hospital ya Wilaya,Ujenzi wa Kituo cha Afya Kitama,Ujenzi wa Shule ya Sekondari Litehu,Ujenzi wa Kituo cha Afya Litehu
Aidha amekagua mradi wa ujenzi wa shule ya Sekondari Mndumbwe,Kituo cha Afya Mambamba,mradi wa Maji Lipalwe
Dc Sawala amesema maendeleo kwa ujumla ni mazuri, ambapo asilimia kubwa ya miradi ipo katika hatua za umaliziaji na mradi wa maji wa Lipalwe ambao umekamilika.mbao umekwisha malizika litehu ambacho kipo katika hatua za kati pia mradi wa maji wa lipalwe ambao umekwisha ish
Aidhaj amewataka wasimamizi wa miradi kuandaa ripoti inayoonyesha matumizi ya fedha ambazo zilitolewa kwa ajili ya uendeshaji wa kila mradi, piasii wa i wa miradiazo zilitpsewa kwa ajili ya uendeshaji wa kila mrsadi a kutembelea katika miradi yao mara kwa mara ili kubaini changamoto zinazokwamisha miradi hiyo kuto kamilika kwa wakati ili kuweza kuzitatua kwa wakati.
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa