Na Kitengo cha Mawasiliano
Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Patrick Sawala amekabidhi kofia ngumu (Helment) thelathini (30) kwa waendesha pikipiki (bodaboda) wa vituo vinne
Akikabidhi kofia hizo Disemba 14,2023 ambazo zimetolewa na Shirika la Search for Common Ground ili wawe salama wanapoendesha pikipiki zao Dc Sawala amewasistiza kuendelea kuzingatia sheria na kanuni za Usalama wa barabarani
”Nawapongeza Shiriki hili wito wangu kwenu waendesha pikipiki muendelee kuzingatia sheria na kanuni za Usalam wa barabarani ili kuepuka ajali ambazo zinaepukika,”amesema Dc Sawala
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa