• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

DC SAWALA AFIKA KUWAPA POLE WAHANGA WA MVUA NAMIKUPA.

Posted on: January 17th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Patrick Sawala Leo Januari 17, 2024 ameambatana na kamati ya Maafa na Viongozi mbalimbali kwenda Kata ya Namikupa kuwaona wahanga wa Mvua kubwa zilizonyesha hivi karibuni na kusababisha baadhi ya Nyumba kuezuliwa na Kubomoka.


DC Sawala ametoa Salamu za  pole kwa wahanga na kuongeza kuwa Serikali ipo kwa ajili ya kuwahudumia Wananchi hata katika Majanga kama haya ya Mvua.


"Poleni sana na  Serikali yenu iko na nyinyi, haijawatupa na ndio maana tumekuja kuwaona kupata taarifa ya kina ya madhara yaliyotokea ili iweze kuwasaidia" DC Sawala.


Aidha, DC Sawala  amewapongeza Wananchi ambao tayari wameanza kurekebisha nyumba zilizoathirika huku akiwasisitiza  kuendelea kuchukua tahadhari hasa katika kipindi hiki Cha Mvua nyingi pamoja na kutoa taarifa haraka endapo kutatokea majanga ili Serikali iweze kuchukua hatua.


Diwani wa Kata ya Namikupa Mhe.Mohamed Mnamala ameishukuru Serikali kwa kuonesha jitihahatua za kuwajali Wananchi 

wake .

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO KWA MADIWANI WA KAMATI YA FEDHA WILAYA YA TANDAHIMBA WAKIWA MKOANI SIMIYU NA MATARAJIO YAO KWA WANANCHI

    June 10, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 10, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa