Na Kitengo cha Mawasiliano.
Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe. Kanali Michael Mntenjele mapema leo Oktoba 11,2024 amewaongoza
wananchi wa Wilaya ya Tandahimba kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura katika ofisi ya kijiji Posta Kata ya Tandahimba.
Aidha viongozi wengine wa Wilaya akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba DCI.Mariam Mwanzalima wamejiandikisha katika vituo vyao vilivyopo kwenye maeneo yao.
#Uandikishaji wa Daftari la wapiga kura
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa