Na Kitengo cha Mawasiliano.
Timu ya Menejimenti ya Halmashauri (CMT) ya Wilaya ya Tandahimba imetembelea Miradi ya Maendeleo inayotekelezwa katika Halmashauri hiyo ikisisitiza Kasi ya ujenzi iongezeke.
Timu hiyo ikiongozwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Robert Mwanawima imekagua Ujenzi wa jengo la kujifungulia , jengo la mama na Mtoto, jengo la kufulia na Nyumba ya Mkurugenzi .
Majengo hayo yamegharimu kiasi Cha Tsh. Bilioni 1.08 ikiwa ni fedha kutoka Serikali kuu .
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa