• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI TANZANIA WAFANYA ZIARA YA KUJIFUNZA UZALISHAJI WA ZAO LA KOROSHO TANDAHIMBA.

Posted on: January 16th, 2025

Wakufunzi na Wanafunzi wa Chuo  cha Taifa cha Ulinzi  Tanzania (NDC) wakiongozwa na Mkuu  wa msafara Mkufunzi Mwandamizi Elekezi Jeshi la Anga Brigadia Jenerali Erick Mhoro leo Januari 16,2025 wamefanya ziara Wilaya ya Tandahimba kujifunza uzalishaji wa zao la Korosho.


Akiwasilisha taarifa fupi ya Wilaya Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Michael Mntenjele ametumia nafasi hiyo pia kuwakaribisha kuwekeza Tandahimba  katika sekta ya kilimo hususani viwanda.


Katika ziara yao  wakiwa Tandahimba wametembelea shamba la mkulima wa  korosho kijiji cha Mivanga Kata ya Nambahu Ndg Muhdin Jumbe  anaemiliki ekari kumi za  shamba la mikorosho ambapo  aamewaelezea jinsi alivyofanikiwa kuinua uchumi wa familia kupitia zao la Korosho 


Aidha wametembelea chama cha Msingi Matogoro  ambapo wameelezwa na kuona jinsi chama hicho kinavyopokea korosho za mkulima hadi hatua ya kupeleka korosho hizo kwenye Chama Kikuu cha Ushirika na kuhitimisha ziara yao kwa kutembelea kiwanda cha Korosho cha AMAMA na kuona jinsi wanavyoiongezea  thamani Korosho na kuuza Nje ya Nchi  kutoka moja kwa moja Tandahimba.


Kwa upande wake Brigedia Jenerali Erick Mhoro amempongeza Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba kwa usimamizi  wa shughuli za uzalishaji wa Korosho katika Wilaya ya Tandahimba  ambapo ni  utekelezaji wa sera ya Serikali katika kuinua Uchumi lakini pia wamepongeza juhudi zote zinazofanyika,katika maeneo waliyotembelea .


# Tandahimba tumejipanga kazi zinaendelea

Matangazo

  • TANGAZO LA WALIOFAULU USAILI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. January 15, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKABIDHI VISHIKWAMBI KWA MAAFISA UGANI TANDAHIMBA

    February 18, 2025
  • KU WILAYA YA TANDAHIMBA YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO ITAKAYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU MWAKA 2025

    February 17, 2025
  • Vipaumbele Mahususi vya Bajeti ya 2025/2026 Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba.

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI TANDAHIMBA LAPITISHA MAKISIO YA MPANGO NA BAJETI YA TSH .BIL.40.2 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026.

    February 13, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa