Vitu vinavyotakiwa ili uweze kujipatia leseni ya biashara;1.Unatakiwa kwenda TRA upate Namba ya utambulisho ya mlipa kodi(TIN NO;)2.Utalipa Banki kiasi cha shilingi elfu hamsini(50,000/=)kwenye akaunti ya halmashauri inayopatikana kwa Afisa biashara au karani wa fedha wa Halmashauri.3.Utaambatanisha risiti ya malipo ya bank pamoja na Namba ya utambulisho ya mlipa kodi(TIN NO;) utafika ofisi ya Afisa biashara ili uweze kuandikiwa leseni yako ya mwaka
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa