• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

Historia

●Utangulizi:

Wilaya ya Tandahimba ni moja ya Wilaya Tano zinazounda Mkoa wa Mtwara. Wilaya hii ilianzishwa rasmi Mwaka 1995.

●Mipaka wa Eneo:

Wilaya ya Tandahimba ipo Kusini mwa Tanzania. Wilaya hii inapakana na Wilaya ya Mtwara kwa Upande wa Mashariki, Magharibi inapakana na wilaya ya Newala, Kaskazini inapakana na Mkoa wa Lindi na Kusini inapakana na Mto Ruvuma ambao ni mpaka rasmi na Nchi ya Msumbiji.

Mji mkuu wa wilaya hii unaitwa TANDAHIMBA ambao upo kilometa 95 kutoka makao makuu ya mkoa wa Mtwara. Wilaya ina ukubwa wa eneo la kilometa za mraba 1673 sawa na hekta 167,331.

Eneo linalofaa kwa kilimo ni hekta 157,304 sawa na asilimia 94 ya eneo lote la wilaya, eneo lenye miti ni hekta 63,216.8 ambalo ni sawa na asilimia 38 ya eneo lote la wilaya. Misitu ya hifadhi ikiwemo hifadhi ya Milima ya Makonde ni hekta 25,218 sawa na asilimia 15 ya eneo lote la wilaya.

●Utawala.

Wilaya ya Tandahimba ina Tarafa 3, Kata 31, Vijiji 157 vilivyoandikishwa pamoja na vitongoji 654. Wilaya ina Jimbo 1 la Uchaguzi.

Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba ina jumla ya Waheshimiwa Madiwani 42 pamoja na Mheshimiwa Mbunge wa Jimbo la Tandahimba.

Kati ya hao,Madiwani wakuchaguliwa ni 31 na Viti Maalum ni 11. Waheshimiwa Madiwani 10 wanatoka katika Chama Tawala (CCM),Diwani 1 anatoka Chama cha CHADEMA na 20 wanatoka Chama cha CUF.

●Idadi ya Watu:

Kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 wilaya ya Tandahimba ina watu 227,541 kati ya hao wanawake ni 122,192 na wanaume ni 105,322. Kutokana na ongezeko la watu kwa wastani wa 1.2 wilaya inakadiriwa kuwa na watu 239,947 (Ke 128,869 na Me 111,077). Wilaya ina watoto walio chini ya miaka 0 – 4 wanakadiriwa kufikia 29,842 ambao ni sawa na asilimia 13.5. Watoto umri wa miaka 5 – 19 wanakadiriwa kufikia 75,089 sawa na asilimia 33 ya watu wote wilayani, Vijana umri kuanzia 20 – 45 wanakadiriwa kufikia 72,877 sawa na asilimia 32 ya watu wote wilayani, Pia umri wa miaka 45 – 59 wanakadiriwa kufikia 26,190 sawa na asilimia 11.5 ya watu wote wilayani na Wazee umri wa miaka 60 na zaidi wanakadiriwa kufikia 23,516 sawa na asilimia 10.3 ya watu wote wilayani.

Matangazo

  • Ratiba ya Usafi kila jumamosi ya mwisho wa mwezi. January 03, 2018
  • Siku ya mazoezi kila jumamosi ya pili ya mwezi January 03, 2018
  • TANGAZO LA UJIO WA MWENGE WA UHURU 2018 WILAYANI TANDAHIMBA June 09, 2018
  • Soma

Habari mpya

  • Kamati ya Fedha yaridhishwa na miradi ya maendeleo Halmashauri ya Tandahimba

    January 23, 2021
  • Kampeni ya ondoa mapori ongeza uzalishaji yashika kasi Tandahimba

    January 23, 2021
  • TEA yakabidhi miradi kwa Halmashauri ya Tandahimba

    January 19, 2021
  • Halmashauri ya Tandahimba yatumia shilingi Milioni 145 kutengeneza samani za kidato cha kwanza

    January 07, 2021
  • Soma

Video

Byakanwa Afunga mwaka kwa mikakati ya mabadiliko
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimba.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa