Kamati ya Usalama (KU) Wilaya ya Tandahimba ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Michael Mntenjele Februari 17,2025 imefanya ziara ya kukagua miradi ya Maendeleo itakayopitiwa na Mwenge wa Uhuru Mwaka 2025.
Mwenge wa Uhuru utapokelewa Wilaya ya Tandahimba Mei 22, 2025 ambapo ukiwa Tandahimba utazindua na kuweka jiwe la msingi kwa miradi ya Maendeleo , Kauli mbiu ya Mwaka huu ni " Jitokeze Kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kwa Amani na Utulivu"
#Tandahimba tumejipanga kazi zinaendel
ea
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa