Posted on: January 25th, 2025
Ikiwa ni siku ya kwanza ya mafunzo kwa Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya bayometriki Jimbo la Tandahimba wametakiwa kushirikiana sambamba na kuvitumia vifaa hivyo kwa usahihi huku...
Posted on: January 21st, 2025
Maafisa Waandikishaji Wasaidizi (ARO-Kata) Jimbo la Tandahimba wametakiwa kuwa na bidii,weledi ushirikiano,uadilifu na kujituma wakati wa uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura ili...
Posted on: January 17th, 2025
JANUARI 17,2025
Maafisa ugani Kilimo walioajiriwa na Bodi ya Korosho Tanzania wametakiwa kuwa na bidii na Uadilifu katika utekelezaji wa majukumu yao ili kufikia malengo ya Serika...