Posted on: April 18th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Michael Mtenjele amefanya ziara ya kukagua Miradi ya Maendeleo ikiwemo miundombinu ya barabara na Elimu inayotekelezwa katika Halmashauri hiyo .
...
Posted on: April 4th, 2024
Na Kitengo cha Mawasiliano.
Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Michael Mtenjele ametembelea na kukagua Miradi ya maendeleo inayotarajiwa kupitiwa na Mwenge wa Uhuru 2024 n...
Posted on: April 3rd, 2024
Na Kitengo cha Mawasiliano.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo Madaras...