• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

ZINGATIENI MPANGO KAZI MIRADI YA BOOST IKAMILIKE KWA WAKATI NA UFANISI - DC SAWALA

Posted on: April 19th, 2023

Na Kitengo cha Mawasiliano

Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Patrick Sawala amewasistiza wasimamizi wa miradi ya Uboreshaji wa miundombinu  ya ujifunzaji na na ufundishaji  kwa shule za msingi (BOOST) kuzingatia mpango kazi sambamba na miongozo iliyotolewa katika utekelezaji wa miradi hiyo kwenye maeneo yao  husika

Akizungumza Aprili 19,2023 katika ukumbi wa mikutano wa Halmasahauri na wadau wa maeneo ambayo miradi hiyo itatekelezwa Dc Sawala amesema kuwa kikao hicho cha kujenga uelewa kwa wadau kitaleta ufanisi wa utekelezaji wa miradi ya BOOST kwa wakati

" Tunamshukuru Mhe Rais kwa juhudi anazofanya za maendeleo ,muhimu hakikisheni mnaisimamia na kuifuatilia miradi ili iweze kukamilika kwa wakati,viwango na ndani ya bajeti iliyotolewa,zingatieni mpango kazi  ambayo itakuwepo katika maeneo yenu ya miradi"amesema Dc Sawala

Naye Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Ndg.Mussa Gama amesema lengo la kikao hicho ni kujenga uelewa wa miradi ya BOOST kwa wadau hao ambapo kwa awamu ya kwanza kiasi cha fedha shilingi Mil.665.1 zitatekeleza miradi ya ujenzi wa miundombinu ya madarasa na matundu ya vyoo

" Wakati wowote kuanzia sasa tutapokea fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya BOOST ,ninaamini  miradi hiyo itakavyotekelezwa kwa ufanisi na maelekezo yake yatazingatiwa ili tuweze kuendelea kupata fedha hizo  kuboresha miundombinu ya elimu msingi katika Halmashauri yetu, "amesema Mkurugenzi

Aidha amesema kwamba fedha hizo  zitatekeleza miradi katika shule za msingi saba(7) ambazo ni Amani,Chikongola,Michenjele, Mjimpya,Mihambwe na Mambamba  ambapo itajengwa shule mpya ya kisasa

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa