• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

ZIARA YA MBUNGE KATANI YAACHA TABASAMU MKOREHA.

Posted on: July 14th, 2024

Na Kitengo cha Mawasiliano 

Mbunge wa Jimbo la Tandahimba Mhe.Katani A. Katani amesema Serikali imejipanga vyema kutoa pembejeo za kilimo cha zao la Korosho kwa Wananchi kulingana na Ukubwa wa Shamba na idadi ya Mikorosho aliyo nayo Mkulima .

Mhe.Katani ametoa kauli hiyo kwenye Mkutano wa hadhara wakati akisikiliza na kutatua kero za Wananchi katika Kata ya Mkoreha baada ya Wananchi kuwa na hofu juu ya Ugawaji wa Pembejeo ambayo haikidhi mahitaji ya Wakulima .

"Niwahakikishie Wananchi kwamba tutahakikisha Wakulima walioandikisha Ukubwa wa Shamba na Idadi ya Miti ya Korosho wanapata Mifuko ya kupuliza inayoendana na Ukubwa wa Shamba" Mhe.Katani

Katika Suala la Umeme Mhe.Katani amesema tayari miundombinu ya Umeme imewekwa na hivi karibuni Wananchi watapata huduma ya umeme katika Vijiji vya Kata hiyo.

Akijibu Swali la Mwananchi kuhusu kukamilika kwa Zahanati ya Chikongo, Mganga Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Dkt. Adolati Mpolo amesema Serikali imetoa fedha kiasi Cha Tsh.Milioni 50 Kwa ajili ya kukamilisha baadhi ya miundombinu ili Wananchi wapate huduma za Afya karibu na maeneo yao.

Mhe.Katani akiambatana na Wataalamu anaendelea na ziara ya Siku 15 katika Kata za Wilaya ya Tandahimba akisikiliza, kutatua na kufafanua kero za Wananchi wa Jimbo la Tandahimba.


#kaziiendelee

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa