• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

WITO WATOLEWA KWA WAJUMBE WA KAMATI YA AFYA YA MSINGI TANDAHIMBA.

Posted on: February 15th, 2024

Na Kitengo cha Mawasiliano 


Wito umetolewa kwa.Wajumbe wa Kamati ya Afya ya msingi ya Wilaya ya Tandahimba  kutimiza wajibu wao kwenye nafasi zao ili malengo ya Kampeni ya Kitaifa ya utoaji wa chanjo ya Surua Rubella  yatimie.

Akizungumza  leo Februari 14,2024 kwenye kikao  cha Kamati ya afya ya Msingi ya  Wilaya kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Mkuu wa Wilaya ,Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Ndg.Francis Mkuti amesema kuwa kila mjumbe akatimize wajibu wake wa kuwajengea uelewa wananchi kuhusu kampeni hii.

Naye Kaimu Mratibu wa Chanjo  wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Bi. Joselyne Kalikawe akitoa wasilisho  kwa Kamati  ya Afya Msingi ya Wilaya ameeleza kuwa ugonjwa wa Surua na Rubella huenezwa kwa njia ya hewa,hivyo chanjo hiyo itasaidia kumkinga  mtoto kuanzia miezi tisa hadi chini ya umri wa Miaka mitano na magonjwa hayo.

Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba imeweka lengo la kutoa chanjo hiyo kwa  watoto  30632  kwenye Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo ya Surua Rubella ambayo inaanza rasmi kesho Februari15-18,2024 ambapo huduma  hiyo itatolewa kwenye vituo vyote vya kutolea huduma za afya,shuleni,sokoni na maeneo yaliyotengwa.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa