• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

Watoa huduma za afya washiriki mafunzo ya Huduma muhimu kwa wajawazito

Posted on: September 19th, 2022

Na Kitengo cha Mawasiliano

Watoa huduma za afya  wametakiwa kuratibu huduma  bora za mama na mtoto ili kuhakikisha  vifo vitokanavyo  na changamoto za uzazi na watoto wachanga havitokei  katika Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

Ameyasema hayo Kaimu Mkurugenzi Mtendahi Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Ndg.Raphael Mputa wakati akifungua mafunzo ya Huduma Muhimu kwa Wajawazito leo Septemba 19,2022 katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri

”Zingatieni mafunzo haya ili kuhakikisha Halmashauri yetu tunaondoa kabisa tatizo la vifo vitokanavyo na uzazi ,mikakati iliyopo ni kuhakikisha huduma zinapatikana karibu na mwananchi kwa wakati wote,”amesema Ndg.Mputa

Naye Kaimu  Mganga Mkuu Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Dk.Grace Paul ameeleza kuwa  changamoto ya uwepo  wa vifo vya uzazi lipo katika Halmashauri yetu vikihusisha sababu  mbalimbali ikiwemo Wajawazito kuchelewa kupata huduma za kitaalamu

Aidha naye Mwezeshaji wa mafunzo hayo Dk.Omary Kilume  amesemawatoahudumawakizingatia mafunzo hayo yatawasaidia kupunguza au kuondoakabisa vifo vitokanavyo na uzazi ambapo miongoni mwa sababu  ni v kutoka damu nyingi baada ya kujifungua  na kifafa cha mimba

Jumla ya Watoa huduma za afya mia moja themanini (180) watapata mafunzo hayo kwa siku tisa ili kuwajengea uwezo katika eneo la mama na mtoto ili waweze kuendelea kutoa huduma bora

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa