• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

"WASHIRIKISHENI WAZAZI NA WALEZI KIPINDI HIKI CHA MAVUNO WACHANGIE CHAKULA CHA WANAFUNZI SHULENI "DC SAWALA

Posted on: May 15th, 2023

Na Kitengo cha Mawasiliano

Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Patrick Sawala amewataka Watendaji Kata kuwashirikisha wazazi na walezi kuchangia upatikanaji wa chakula kwa wanafunzi katika kipindi hiki cha msimu wa mavuno

Amesema hayo  Mei 15,2023 katika kikao cha tathmini ya utekelezaji wa afua za lishe  robo ya tatu 2022/2023 kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri, ambapo Dc Sawala amesema kuelekea kipindi cha mavuno wazazi na walezi washirikishwe ili waweze kuchangia chakula cha mwaka mzima

" Watendaji Kata mkasimamie wazazi na walezi kipindi hiki tunachoelekea cha mavuno wachangie chakula ili wanafunzi wote wapate chakula ,ni rahisi mzazi kuchangia kipindi hiki ambapo anavuna mazao mbalimbali,mkatumie nafasi hii kuwashirikisha lakini pia mkahakikishe chakula kinachopatikana kinahifadhiwa vizuri ," amesema Dc Sawala

Aidha amewapongeza Watendaji Kata kwa kuendelea kutekeleza afua za lishe katika maeneo yao pia amewasistiza kusimamia na kufuatilia  maazimio waliojiwekea ya kufikia lengo la asilimia 100 kwa viashiria vyote katika kila Kata

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa