• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

Walengwa wa TASAF wapewa elimu ya sensa ya watu na makazi Tandahimba

Posted on: July 29th, 2022

Na Kitengo cha Mawasiliano

Walengwa wa  Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF)Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba wamepewa elimu ya umuhimu wa kushiriki sensa ya watu na makazi  kwa ajili ya maendeleo ya vijiji vyao na Taifa kwa ujumla

Elimu hiyo imetolewa na wawezeshaji wakati wa uhaulishaji  wa ruzuku kwa walengwa wa kaya maskini ambapo walitumia nafasi hiyo kabla ya kuanza malipo kutoa elimu kuhusu sensa ya watu na makazi

Akizungumza na walengwa leo Julai 29,2022  wawezeshaji wa kijiji cha Nanjanga kilichopo kata ya Ngunja ndugu. Karim Aibu amesema kuwa lengo la Serikali ni kupata takwimu sahihi itakayosaidia  kupanga mipango ya maendeleo

“Sensa ya Watu na makazi italeta maendeleo katika vijiji vyetu ni muhimu kuhudhuria,msiwe na Imani potofu ya kutoshiriki na msikubali mtu awapotoshe kuhusu sensa,lengo la serikali ni njema katika kuleta maendeleo kwa wananchi wake,”amesema Mwezeshaji

Mwezeshai Ndg Silas Kibaya akimkabidhi Mlengwa  malipo yake

Aidha kiasi cha shilingi  259,329,895 zimetumika kuahulishwa kwa walengwa wa taslimu 9473 katika vijiji 157 ikiwa ni malipo ya mwezi Mei na June,2022 ambapo zoezi hilo la siku nne limekamilika leo Julai 29,2022

 

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa