• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

WADAU WA KOROSHO WAWEKA MIKAKATI YA KUDHIBITI UBORA WA ZAO HILO.

Posted on: October 27th, 2023

Na Kitengo cha Mawasiliano. 


Wadau wa  Korosho Wilaya ya Tandahimba na Newala wameweka mikakati ya kudhibiti ubora wa Korosho  ili kuongeza thamani ya bei kwa wanunuzi wanaokuja kununua korosho hizo

Akifungua kikao hicho  Oktoba 26,2023 Katika ukumbi wa mikutano wa Wilaya ya Newala,  Mkuu wa Wilaya hiyo  Mhe.Alhaji Mwangi Rajabu Kundya  amesema thamani ya korosho inapoongezeka wanufaika ni wakulima wa zao hilo

 Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba  Mhe.Kanali Patrick Sawala  amewasistiza maafisa Ugani,Maafisa Ushirika na Viongozi wa Vyama vya Ushirika  kuendelea kutoa elimu kwa Wakulima ya ukaushaji wa korosho na kuhifadhi katikaviwango vinavyotakiwa huku  akiwataka watunza maghala  kusimamia ubora wa korosho  kwa kuzingatia vipimo vya unyevu kabla ya kuingiza ghalani.

Katika hatua nyingine viongozi hao wakiwemo wa vyama vya ushirika (AMCOS) na watunza Maghala kwa pamoja wameahidi kusimamia kwa weledi majukumu yao pamoja na kuzingatia maelekezo waliyopewa ili kuendelea kulinda ubora wa korosho hizo.

Mpaka sasa Wilaya ya Tandahimba  inaongoza kwa uzalishaji wa korosho bora nchini Tanzania .


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa