• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

UN WOMEN WATOA MAFUNZO KWA WAWEZESHAJI WA MASUALA YA KUTOKOMEZA UKATILI WA KIJINSIA MKOA WA MTWARA Wawezeshaji wa masuala ya kutokomeza.

Posted on: December 13th, 2024

 Na Kitengo cha Mawasiliano 

Wawezeshaji wa masuala ya kutokomeza ukatili wa kijinsia wametakiwa  kwenda kuelimisha  na kuwawezesha wengine katika  jamii kufahamu athari za ukatili wa kijinsia na hatua za kuchukua kukomesha tatizo hilo.

Hayo yamesemwa leo  Desemba 13,2024 na Afisa Usimamizi Fedha Mkoa wa Mtwara CPA.Norbert Shee kwa niaba ya Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara kwenye mafunzo ya wawezeshaji wa masuala ya kutokomeza Ukatili wa kijinsia  yaliyofanyika Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba.

" Tunawashukuru wadau wetu Shirika la Umoja wa Mataifa  la UN Women kwa kuendelea kuunga mkono  jitihada za Serikali,ambapo mafunzo haya yatawezesha washiriki kupata uelewa na maarifa sahihi juu ya afua za ukatili wa kijinsia na mbinu za kukabiliana nao, " amesema Shee

Kwa.upande wao wawezeshaji wa mafunzo hayo wamewasilisha mada  mbalimbali ambapo pia wamesistiza ushirikiano katika kupambana na ukatili wa kijinsia  katika jamii  kwakuwa madhara yake  ni pamoja na kuleta umaskini katika Kaya na Jamii kwa ujumla.

Mafunzo hayo yamewezeshwa na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia .masuala ya Usawa wa Kijinsia  na Uwezeshaji  wa wanawake ( UN WOMEN) kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa