• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

Tandahimba yaanza maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji

Posted on: August 1st, 2022

Na Kitengo cha Mawasiliano

Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba imeanza maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji kwa kutoa elimu ya umuhimu wa unyonyeshaji kwa kina mama, wajawazito na akina baba wanaohudhuria kliniki za mama na mtoto katika vituo vya kutolea huduma ya afya

Akizungumza na akina mama ,wajawazito na akina baba ambao wamehudhuria katika kliniki ya mama na mtoto hospitali ya Wilaya ya Tandahimba Agosti 1,2022 Mratibu wa Lishe  Dkt Joselyne Kalikawe amewasistiza mtoto wa chini ya miezi sita ya mwanzo kupewa ziwa  la mama pekee

Amesema kuwa baadhi ya akina mama wanawapa watoto chini ya miezi sita  maji na chakula hiyo hatakiwi,maziwa ya mama yana makundi yote ya chakula lakini maziwa ya mama ya na kinga  ya kumzuia  mtoto na maradhi mbalimbali pia yanaongeza upendo kati ya mama na mtoto

“Unyonyeshaji unahitajika kwa kiasi kikubwa katika miezi sita ya mwanzo ili kuepuka udumavu na utapiamlo,ukimpa mtoto vyakula vingine unaweza kumsababishia madhara ya kiafya ,”amesema Mratibu

Maadhimisho ya wiki ya Unyonyeshaji Duniani hufanyika  kila mwaka ambapo kauli mbiu ya mwaka 2022 “Chukua hatua,Endeleza  unyonyeshaji Elimisha na toa msaada”

 

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa