• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

WAZIRI DKT.TAX AZINDUA MRADI WA MAJI CHITOHOLI. *Awapongeza RUWASA kwa kukamilisha kwa ubora na kwa wakati *Wananchi waishukuru Serikali.

Posted on: October 7th, 2024

Na Kitengo cha Mawasiliano. 

Waziri  Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Mhe.Dkt.Stergomena Tax amefanya ziara Wilaya ya Tandahimba na Kuzindua Mradi wa Maji Chitoholi katika Kata ya Mkundi.

Akizungumza na Wananchi  mara baada ya Kuzindua Mradi huo Dkt.Tax amewataka Wananchi hao kutunza miundombinu iliyowekwa  ili idumu kwa muda  mrefu na waweze kunufaika.

"Nimetumwa na Mheshimiwa Rais wetu Dkt.Samia Suluhu Hassan kuwaambia anawapenda sana na anawapenda kwa vitendo kama mnavyoona mradi huu ni Mkubwa, na Kufikia Mwezi Juni 2025 maji yatawafikia Wananchi kwa 90%" Dkt.Tax

Awali akisoma taarifa ya Mradi huo Meneja wa RUWASA Wilaya ya Tandahimba Mhandisi Antidius Muchunguzi amesema mradi huo umegharimu kiasi cha Tsh Bilioni 1.4 ikiwa ni fedha kutoka Serikali kuu kupitia mradi wa P-for-R ambapo zaidi ya Wananchi 10,817 sawa na 4% ya wakazi  wa Tandahimba wananufaika na mradi huo .

Aidha, Mbunge wa Jimbo la Tandahimba ameishukuru Serikali kwa mradi huo akiwasisitiza Wananchi kuendelea kuiamini Serikali ya Samia Suluhu Hassan kwa kuwa inatekeleza kwa vitendo na kutatua kero za Wananchi ikiwemo kumtua mama ndoo.

Baadhi ya Wananchi wametoa maoni yao juu ya mradi wakisema wanaridhishwa na Kasi ya Maendeleo yanayofanyika katika Wilaya hiyo ikiwemo Miradi ya Maji.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa