• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

RC Mtwara apongeza uripoti wa wanafunzi kidato cha kwanza kufikia asilimia 96

Posted on: January 31st, 2023

Na Kitengo cha Mawasiliano 

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe.Kanali Abbas Ahmed Abbas amepongeza uripoti wa wanafunzi  wa kidato cha kwanza kufikia asilimia 96 katika Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

Ametoa pongezi hizo  Januari 31,2023 katika ziara yake yenye madhumuni ya kuangalia miundombinu ya madarasa na kujiridhisha na takwimu za uandikishaji wa wanafunzi wa kidato cha kwanza walioripoti katika shule

“Nawapongeza  kwa kufikia asilimia 96 ya mahudhurio ya wanafunzi wa kidato cha kwanza walioripoti shule,nimetembelea shule hii ya Tandahimba ambayo ilipata fedha ya miradi ya vyumba vinne nimejiridhisha miundombinu ipo vizuri na uripoti wa kidato cha kwanza mzuri,hongereni,”amesema Rc

Aidha RC akiwa shuleni hapo amesistiza utunzaji wa mazingira ikiwemo upandaji wa miti sambamba na kuitunza iliyopo ambapo alitumia nafasi hiyo kumshukuru Mhe.Rais wa awamu ya sita Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa fedha  kwa ajili ya utekelezaji  wa miradi ya Maendeleo katika Mkoa wa Mtwara

Naye Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Patrick Sawala amesema kuwa ongezeko la wanafunzi  wa kidato cha kwanza kufikia asilimia 96 ni ushirikiano mzuri wa viongozi uliopo kuanzia ngazi ya kitongoji,kijiji,kata,tarafa na Wilaya,lengo  kuhakikisha wanafunzi wanaripoti shule kwa asilimia 100

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa