• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

Rc Kanali Ahmed asistiza ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri

Posted on: October 18th, 2022

Na Kitengo cha Mawasiliano

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Kanali Ahmed Abbas Ahmed amesistiza udhibiti Ukusanyaji wa  Mapato kwa vyanzo vilivyopo katika Halmashauri na kuendelea kubuni vyanzo vipya ili kuongeza Mapato ambayo yanasaidia katika Utekelezaji wa shughuli za Maendeleo

Rc baada ya kuwasili Halmashauri ya Tandahimba Oktoba 18,2022 alipokelewa na Uongozi wa Wilaya ukiongozwa na Katibu Tawala Ndugu Juvenile Mwambi kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya  ya Tandahimba  ambapo alipokea taarifa ya Wilaya na kuzungumza na Watumishi 

 “Nawapongeza kwa kufanya kazi kwa ushirikiano lakini ,muendelee kusimamia na kudhibiti ukusanyaji wa mapato katika vyanzo vilivyopo lakini pia kubuni vyanzo vipya ili kuongeza mapato , wakusanyaji wa mapato muwatambue kwa  ufanyaji wa kazi hiyo kwa uadilifu kwa kuwapa vyeti vya shukrani sambamba na motisha zingine,”amesema Rc

Aidha amesema kuwa utatuzi wa migogoro ya ardhi ifanyiwe suluhisho kwa wakati ili kuepuka madhara ambayo yanaweza kujitokeza endapo mgogoro hautatolewa ufumbuzi kwa wakati

Akizungumzia suala la mikopo ya asilimia kumi ambayo inatolewa kwa Wanawake,Vijana na Watu wenye ulemavu amesema kuwa makundi yanayopewa mikopo yasijirudie rudie ili kutoa nafasi kwa makundi mengine yenye uhitaji kupata fedha hizo

Katika kikao hicho Rc  amezungumzia  hoja za wakaguzi  ambazo bado hazijajibiwa zijibiwe ili zifungwe ,usimamizi  wa miradi ili kukamilisha kwa wakati na kuangalia fursa za kiuchumi  zilizopo kwa wawezeshaji sambamba na ubunifu ili kuzalisha kwa tija

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa