• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

Rc Gaguti asema wavamizi wa maeneo hawatapewa anwani za makazi

Posted on: February 17th, 2022

Na Kitengo cha Habari  na Mawasiliano

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe Brig.Jen.Marco Gaguti amesema maeneo ambayo wananchi wamevamia  wenyeviti wa vijiji na vitongoji wasitoe namba za anwani za makazi katika maeneo hayo

Ameyasema hayo leo  Februari 17,2022 kwenye kikao kazi cha anwani na makazi kwa wenyeviti wa vijiji katika ukumbi  wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya  Tandahimba

“Kwenye maeneo ambayo wananchi wamevamia kama vile kwenye vyanzo vya maji na sehemu za hifadhi na wamejenga wenyeviti wa vijiji msitoe namba za anwani za  makazi kwenye maeneo hayo,,”amesema Rc Gaguti

Aidha  Rc ameipongeza Wilaya ya Tandahimba kwa kampeni ya ondoa ziro kwa kidato cha nne na kidato cha pili ambapo amesema ana imani kuwa italeta mafanikio makubwa kwa Wilaya na Mkoa Mtwara

“Nawapongeza kwa kuanza kampeni hii ya kuondoa ziro Tandahimba, ni Imani yangu tukilisimamia hili ,tunakwenda kuondoa kabisa ziro ,”amesema Rc Gaguti

Naye Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba  Mhe.Kanali Patrick Sawala  amesema kuwa katika zoezi la anwani za makazi zipo nafasi za vijana kufanya kazi ya kuingiza taarifa kwenye mfumo ambapo jukumu hilo litatekelezwa katika ngazi ya kitongoji ili kutoa nafasi kwa vijana kushiriki katika maeneo yao

“Katika zoezi hili kuna vijana watahitajika kufanya kazi sisi kama Wilaya tumetoa nafasi  zoezi hilo la kuwapata vijana lifanyike katika ngazi za vitongoji ili kuwapa nafasi vijana wetu kufanya kazi hiyo kwa weledi mkubwa na uzalendo wa nchi yao kikubwa awe na sifa ya kuwa na simu janja na awe amemaliza kidato cha nne au kidato cha sita,”amesema Dc Sawala

Aidha Mkurugenzi Mtendaji  wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba ndugu Mussa Gama amesema kuwa anaamini zoezi hilo litakamilika kwa wakati na kwa ufanisi mkubwa baada ya wanyeviti hao kupewa elimu hiyo ya anwani za makazi


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa