• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.DKT.SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA WANANCHI WA TANDAHIMBA

Posted on: September 16th, 2023

Na Kitengo cha Mawasiliano 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kutoa Pembejeo za ruzuku ili kuwawezesha wakulima wa zao la Korosho kuzalisha kwa wingi  na kukuza Uchumi wa mkulima na Taifa kwa ujumla.

Dkt.Samia ameyasema hayo leo Septemba 16,2023 kwenye Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika Uwanja wa mpira wa Majaliwa akiwasisitiza wagawaji wa pembejeo hizo kusimamia ugawaji wenye tija kwa wananchi.

"Lengo la pembejeo za ruzuku ni kuongeza uzalishaji wa zao la korosho kwa wingi ili mkulima aweze kukuza uchumi wake  na Taifa lakini kama uzalishaji  unapungua ugawaji wa pembejeo za  ruzuku hautakuwa na tija kwa mkulima," amesema Mhe.Rais

Kwa upande wa miradi ya maendeleo Mhe.Rais amewasistiza Madiwani wa Halmashauri na viongozi kusimamia miradi hiyo ambayo Serikali inatoa fedha nyingi kuitekeleza.

Aidha katika sekta ya ya Elimu amesema kuwa Serikali imeboresha miundombinu ya Elimu na kutoa elimu bure kwa wanafunzi kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita hivyo ni wajibu wa kuwasimamia watoto kwenda shule

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan yuko katika ziara Mkoani Mtwara akitembelea miradi na kuzungumza na wananchi

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa