• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

MWENYEKITI WA UWT TAIFA ARIDHISHWA NA UJENZI WA SHULE MPYA MAMBAMBA

Posted on: July 20th, 2023

Na Kitengo cha Mawasiliano

Mwenyekiti wa UWT Taifa  Ndg.Mary Chatanda ameridhishwa na mradi wa ujenzi wa Shule mpya ya Msingi na Awali Mambamba ambayo imetekelezwa kwa  kiasi cha Tsh.Mil 331.6 kupitia mradi wa BOOST

Akizungumza  Julai 20,2023 katika ziara yake ya siku moja katika Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba aliyoambatana na Kamati ya Utekelezaji ya UWT Taifa ambayo imetembelea na kukagua utekelezaji wa miradi ya Maendeleo sambamba na kuzungumza na wananchi

" Nimefurahi  kuona jinsi utekelezaji wa ilani ya CCM inavyotekelezwa kwa vitendo katika miradi ya maendeleo hapa Tandahimba ,nawapongeza sana kwa usimamizi mzuri,mradi ni mzuri kwakweli nimeanza vizuri ziara yangu ," amesema Mwenyekiti Chatanda

Chatanda amesema kuwa miundombinu inayojengwa katika maeneo mbalimbali hapa nchini  kama watoto hawatahudhuria shule haitakuwa na maana hivyo ni jukumu la wazazi na walezi kuhakikisha watoto wa kike na kiume wanakwenda shule kupata elimu ambayo itawasaidia  kufikia malengo yao

Aidha ametoa wito kwa jamii kuzingatia mila na desturi za kulinda maadili ya Kitanzania ambayo  yameanza kuleta madhara kwa baadhi ya vijana wa Kitanzanis sambamba na kupinga vitendo vya ukatili na unyanyasaji kwa wanawake na watoto

Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba ilipokea fedha kiasi cha Tsh.Mil.665.1 ambayo imetekeleza ujenzi wa miundombinu katika Shule za msingi saba ikiwemo  mradi wa Shule mpya Mambamba kupitia Mradi wa BOOST ambayo tayari miradi hiyo imekamilika

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa