• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

Mwalimu mwenye ulemavu akabidhiwa baiskeli ya kutembelea

Posted on: September 22nd, 2022

Na Kitengo cha Mawasiliano

Mkuu Wilaya yaTandahimba Mhe.Kanali  Patrick Sawala amemkabidhi baiskeli Mwalimu Ndg Bakari Kuwandu ambaye ni mlemavu anayefundisha shule ya Msingi Mjimpya iliyopokaa ya Tandahimba

Akimkabidhi  baiskeli hiyo Septemba 22,2022 katika shule ya msingi Mjimpya, Dc Sawala  amesema kuwa alipokea maombi yake ya uhitaji wa baiskeli ofisinikwake Septemba 19,2022

“Nilipokea  maombi yake wiki hii ambapo alisema kuwa baiskeli ambayo alikuwa akiitumia ni mbovu,nikalichukulia jambo hili kwa uzito mkubwa ukizingatia baiskeli inamsaidia kuingia darasani kuwafundisha wanafunzi wetu ,nikawasaliana na wadau nimeipata nimekuja kumkabidhi ili  iweze kumsaidia,”amesema Dc Sawala

Naye Mwalimu Bakari Kuwandu amemshukuru Dc kwa kumkabidhi  baiskeli hiyo na ameipongeza Serikali kwa kuwajali watu wenye ulemavu “Nashukuru sana Mhe.Dc Sawala ni juzi tu nimepeleka maombi yangu ofisini kwake lakini leo amekuja kunikabidhi baiskeli,asante sana,”amesema Mwalimu Kuwandu

Aidha akiwa shuleni hapo  Dc Sawala amewasistiza wanafunzi kuweka juhudi  katika masomo  yao ili waweze kufikia malengo yao na amewapongeza walimu washule hiyo kwa kazi kubwa wanayofanya na kuhakikisha wanafunzi wanafanya vizuri

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa