• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

MNUFAIKA WA TASAF TANDAHIMBA AELEZA ALIVYOJIKWAMUA KIUCHUMI, AISHUKURU SERIKALI.

Posted on: June 16th, 2024


Mratibu wa TASAF Judith  Mzava pamoja na Afisa Ufuatiliaji  TASAF  Wilaya ya Tandahimba Rahel Kyomo wamemtembelea Mlengwa  Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) ambae amekuwa akinufaika na fedha zinazotolewa na Serikali kupitia Mfuko huo.


Akizungumza nyumbani kwake Leo Bi.Amina  Chihonde Mkazi wa Kijiji Cha Namdowola Kata ya  Nanyanga Wilayani Tandahimba amesema kabla ya kupata fedha za TASAF alikuwa na maisha duni.


" Mimi maisha yangu yalikuwa magumu sana, sikuwa na  kitu chochote cha kunipatia kipato, lakini baada ya kupata fedha za  TASAF sasa naweza kuwasomesha wajukuu zangu, na kuitunza familia yangu vizuri, pia kupitia Fedha za TASAF nimeweka akiba na  nimeweza kununua Ng'ombe watatu wa Maziwa ambapo nauza maziwa na kuongeza kipato Cha Familia yangu" Bi Amina.


Kwa Upande wake Afisa Ufuatiliaji TASAF Wilaya ya Tandahimba Rachel Kyomo  amesema Serikali inaendelea kutoa fedha nyingi kwa ajili ya Kunusuru kaya maskini akionya baadhi ya Walengwa  kuzitumia vyema ili ziwasaidie.


Aidha, Mkuu wa Kitengo Cha TASAF Wilaya ya Tandahimba Judith  Mzava amesema wanaendelea kufatilia wanufaika  kwa kuelimishwa  kujiunga na njia za malipo kwa njia ya simu, kwa mitandao  ya Vodacom, Airtel, Halopesa, Tigo pesa,  na  taasisi za fedha za Benk za NMB na CRDB na kutoa Elimu ya namna ya kuzitumia fedha hizo ili ziwasaidie kujikwamua kiuchumi na kuongeza kipato.


Katika Mwaka wa Fedha 2023/2024 Serikali imetoa Tshs. Bilioni 1.16  kwa kaya maskini 5,859 katika vijiji 157 vya Wilaya ya Tandahimba.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa