• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

Mkurugenzi Tandahimba akabidhi vitendea kazi kwa Idara na Vitengo

Posted on: February 24th, 2021

Na Kitengo cha Habari na Mawasiliano

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Ndugu Said Msomoka amekabidhi vifaaa vya zaidi ya shilingi milioni 27 kwa idara na vitengo vya halmashauri ili kuboresha huduma

Mkurugenzi Mtendaji ndg Said Msomoka akikabidhi vitendea kazi  kwa Idara ya Utawala

Akikabidhi vifaa hivyo ambavyo ni komputa,printa,laptop na vifaa vingine kwa idara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Utawala,Fedha,Mipango,Ujenzi,Kilimo na Ushirika,kitengo cha Tehama na ukaguzi wa ndani

Mkurugenzi Mtendaji ndg Said Msomka (kushoto)akimkabidhi Afisa Tehama Joseph Mongi Kishikwambi kwa ajili mifumo na habari

“Vifaa hivi vitunzwe  ili kuendelea kuboresha utoaji wa huduma katika mazingira yetu ya kazi na  kutambua kuwa fedha hizi ni nyingi hivyo umakini wa utunzaji wa mali ya umma uzingatiwe,”amesema Ndugu Msomoka

 

Mkurugenzi Mtendaji (kulia)akimkabidhi vitendea kazi Afisa Maendeleo Neema Shungu


Naye Mweka hazina wa Wilaya Ally Machella  amesema katika idara yake vifaa hivyo ni muhimu katika ukusanyaji wa mapato  kwenye maeneo mbalimbali hivyo changamoto hiyo itakuwa imepungua

 

Mkurugenzi Mtendaji (kushoto) akimkabidhi  Mweka hazina Ally Machella vitendea kazi 

“Nashukuru kwa vifaa hivi naamini huduma zetu zitaboreka  na tutavotunza kwakuwa tunatambua umuhimu wa vifaa hivi katika idara yetu hususan katika ukusanyaji wa mapato katika vyanzo vyetu mbalimbali,”amesema ndg Machella


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa