• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

Madiwani Halmashauri ya Tandahimba waapishwa

Posted on: December 2nd, 2020

Na Kitengo cha Habari na Mawasiliano

Madiwani wateule  wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba wameapishwa  ili kuanza rasmi shughuli za baraza la madiwani kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wa Tandahimba

Tukio hilo kuapishwa kwa madiwani limefanyika jana  tarehe 1/12/20202 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri na Hakimu Mkazi wa mahakama ya Wilaya ya Tandahimba Nasra Mwinshehe

Hata hivyo baada ya kuapishwa baraza la madiwani wamechagua  Mwenyekiti wa  Halmashauri na Makamu Mwenyekiti ambapo Mheshimiwa Baisa Abdala Baisa  diwani wa kata ya Kitama (CCM) ameshinda nafasi hiyo kwa 91% na Makamu mwenyekiti Mheshimiwa Likapa Juma Nangololo diwani kata ya Mndumbwe (CCM) ameshinda kwa asilimia 93%

Katibu Tawala Wilaya ya Tandahimba Juvenile Mwambi akitangaza Mshindi Mwenyekiti na makamu

Aidha  Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara  Alphayo Kidata akizungumza kwenye baraza la madiwani amesema kuwa wananchi wanahitaji  maendeleo katika maeneo yao na madiwani ndiyo wasimamizi wa shughuli hizo

“Nawapongeza kwa kuapishwa  pia nampongeza mwenyekiti na makamu mwenyekiti kwa kuchaguliwa wananchi wamewaamini mkasimamie kwa uadilifu miradi ya maendeleo kwenye maeneo yenu husika,”amesema ndugu Kidata

Naye Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Tandahimba ndugu Said Msomoka akijibu hoja mbalimbali za madiwani amesema kuwa yupo tayari kushirikiana na madiwani katika kuleta maendeleo ya Tandahimba

“Mimi nipo  tayari kushirikiana na ninyi waheshimiwa madiwani ili  wananchi wa Tandahimba waendelee kupata maendeleo ,”amesema ndugu Msomoka


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa