• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

Katibu CCM Mkoa Mtwara aridhishwa na miradi ya maendeleo Tandahimba

Posted on: December 1st, 2021

Na Kitengo cha Habari na Mawasiliano

Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mtwara ndugu  Mgeni Haji ameridhishwa na miradi ya maendeleo inayotekelezwa  na Ilani ya  Serikali ya Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Tandahimba

Ameyasema hayo Novemba 30,2021 kwenye ziara yake ya kujitambulisha kwenye Chama  na kutembelea miradi  ya maendeleo inayotekelezwa na Ilani ya CCM  ukiwemo mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa na vituo vya afya

 “Nimetembelea miradi ya vyumba vya madarasa na kituo cha afya mambamba nimeona mpo hatua nzuri,lakini pia kwenye taarifa ya Mheshimiwa Dc amesema kuwa mnashirikiana vizuri katika kuhakikisha maendeleo yanasonga mbele Tandahimba,nawapongeza sana ushirikiano na umoja mliokuwa nao,”amesema  Katibu

 

Aidha  ametoa agizo kwa  wasimamizi wa miradi  kuhakikisha wanafanya mkutano na wananchi kuwashirikisha fedha ambayo itabaki baada ya mradi kukamilika ili waweze kupanga matumizi pamoja

Naye Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Patrick Sawala  amesema kuwa miradi hiyo imeweza kufika hatua nzuri kwasababu kila mmoja amewajibika kwa nafasi yake ili miradi ikamilike kwa wakati

 “Katika kusimamia miradi hii kila mmoja anawajibika katika eneo alke  Madiwani,Mkurugenzi Mtendaji Wakuu wa Idara na wasimamizi wa maeneo ya mradi wote wanashiriki kuhakikisha tunamaliza kwa wakati,”amesema  Dc Sawala

Katika majumuisho ya ziara hiyo katibu  amesistiza ushirikianao uendelee kuimarika kati ya Madiwani, wataalam,ofisi ya Mkurugenzi,Ofisi ya Dc na Chama cha Mapinduzi katika kutekeleza miradi ya maendeleo

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa