• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAZINDULIWA TANDAHIMBA.

Posted on: February 4th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Michael Mntenjele amezindua kampeni ya chanjo ya Mifugo katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Tandahimba akiwasisitiza Maafisa Ugani kuhakikisha wanatoa Elimu ya chanjo  kwa Wananchi hasa Wafugaji  ili waweze kuchanja mifugo yao na kuilinda dhidi ya magonjwa.


Aidha, DC Mntenjele amewaasa Maafisa Ugani wa kata na Vijiji kuhakikisha wanatekeleza Majukumu yao kwa kuzingatia taratibu zilizowekwa kwa ajili ya kufanikisha zoezi .

"Kila mmoja atekeleze Majukumu yake kwa kuzingatia Mwongozo uliotolewa na Wizara ya Mifugo, Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Mifugo, Sheria ya wanyama na kanuni mbalimbali zilizopo ili kupata matokeo chanya ya zoezi hili kwa kuwa Serikali inatoa fedha nyingi Kwa ajili ya Chanjo ya Mifugo kila Mwaka" DC Mntenjele 

 


Awali akizungumza hafla hiyo kaimu  Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Tandahimba David Sinyanya amesema kupitia Maafisa Ugani wanatarajia zoezi la chanjo kufanyika kwa ufanisi.


Kwa upande wake Afisa Mifugo Wilaya ya Tandahimba Mtaalam Mkana amesema zoezi la kuchanja Mifugo litaanza Februari 26 hadi Aprili 29 2025 wakitarajia  kuchanja zaidi ya Mifugo 180,000 Wakiwemo Ng'ombe, Mbuzi,Kondoo na Kuku.


 Maafisa ugani kilimo na maafisa ugani mifugo wa kata, vijiji na wa ngazi ya Wilaya pamoja na baadhi ya Wafugaji wamehudhiria katika Uzi

nduzi huo.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa