• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

Kamati ya Sensa Wilaya yafanya ziara kwenye kata kuhamasisha wananchi kushiriki Sensa 2022

Posted on: August 11th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Kanali Patrick Sawala akihamasisha wananchi kushiriki sensa ya watu na makazi Agosti 23,2022

 

Kitengo cha Mawasiliano

Kamati ya Sensa Wilaya ya Tandahimba ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Sensa Mhe.Kanali Patrick Sawala wameanza ziara ya kutembelea kata  zote 32 zilizopo Halmashaiuri ya Wilaya ya Tandahimba kuhamasisha Wananchi kuhesabiwa Agosti 23,2022

Ziara hiyo ya siku tatu imeanza Agosti 11-13 ,2022 ambapo katika kamati hiyo zimegawanyika katika timu tatu ambazo zitatembelea katika kila kata kuhamasisha Sensa

Akizungumza na Wananchi Dc Sawala amewasistiza wananchi kujitokeza kwa wingi  kuhesabiwa ili kupata takwimu sahihi amzazo zitasaidia katika Mipango ya Maendeleo kuanzia ngazi ya Kitongoji hadi Taifa

"Nawasitiza wananchi kushiriki kluhesabiwa Agosti 23,2022,usikubali mtu akupotoshe ili usihesabiwe,lengo la sensa ni njema,na siku hiyo kila mtu atahesabiwa mara moja tu hata kama ana familia tatu au nne,lengo ni kupata taaarifa sahihi,"amesema Dc Sawala

Aidha amehimiza kamati za Sensa kuanzia ngazi ya Vitongoji hadi Kata kuendelea kutoa hamasa katika maeneo yao sambamba na kubainisha maeneo ambayo ufikaji wa makarani ni changamoto ili utaratibu ufanyike mapema  ili kila mwananchi ahesabiwe tarehe hiyo

Katika ziara hiyo ya utoaji wa Elimu na Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi ambayo  Agosti 11,2022 Kata 11 zimefikiwa kwa siku ya kwanza ambazo ni Mihambwe,Mkoreha,Naputa,Namikupa,Mchichira,Mnyawa,Lukokoda,Mkundi,Nambahu,Mkonjowano na Litehu


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa