• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

KAMATI YA LISHE YA WILAYA YAJADILI TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA AFUA ZA LISHE ROBO YA KWANZA 2023/2024

Posted on: November 6th, 2023

Na Kitengo cha Mawasiliano. 


Kamati ya Lishe Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba leo Novemba  6,2023 imejadili utekelezaji wa afua za lishe kwa kipindi cha robo ya kwanza kuanzia Julai hadi Septemba,2023

Akizungumza kwenye kikao hicho kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa  Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Ndg.Raphael Mputa amesema ili jamii iweze kufanya shughuli za kimaendeleo inahitaji kuwa na afya bora hivyo amesistiza elimu iendelee kutolewa kwa jamii kuhusu afya na lishe.

" Elimu iendelee kutolewa kwa jamii kuhusu afya na lishe sambamba na kuyatekeleza yale ambayo tumekubaliana katika kikao hiki ," amesema Mputa

Aidha katika kikao hicho Divisheni na vitengo ziliwasilisha taarifa za utekelezaji wa afua za lishe kwa kwa kipindi cha robo ya kwanza ambapo Kamati zilijadili taarifa hizo .

Naye  Mganga Mkuu Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Dr.Grace Paul amesema timu za wataalamu wa afya na lishe wameendelea kutoa elimu kwa jamii katika Kata na Vijiji

Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba kupitia kamati ya lishe na viongozi mbalimbali wamekuwa Mstari wa  mbele katika kuhamasisha na kutoa Elimu ya lishe ili keuepuka Udumavu na kujenga Jamii yenye Afya Bora.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa