• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

Kamati ya Fedha yaridhishwa na miradi ya maendeleo Halmashauri ya Tandahimba

Posted on: January 23rd, 2021

Na Kitengo cha Habari na Mawasiliano

Mwenyekiti wa  Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba  Baisa Baisa amewataka  wananchi kushiriki kikamilifu katika ujenzi wa miradi maendeleo inayoendelea katika maeneo mbalimbali ndani ya Halmashauri

Mhandis Hassan Msangawenga akionyesha ujenzi wa mradi wa vyumba viwili vya madarasa Sekondari ya Nandonde

Ameyasema hayo   kwenye ziara ya Kamati ya Fedha ,Utawala na Mipango walipotembelea miradi ya maendelo inayoendelea  na iliyokamilika  katika maeneo mbalimbali ya Halmashauri ya Tandahimba

Kamati ya Fedha  wakiangalia mradi wa vyumba vitatu vya madarasa shule ya msingi Kitama moja

 “Tumetembelea miradi kujionea hali halisi tumeiona  miradi ipo imekamilika vizuri na mingine ina changamoto  lakinipia naiomba  jamii kujitolea kushiriki kwenye  sisi wana Tandahimba miradi ni yetu ,tushiriki kikamilifu serikali  inatoa fedha lakini tusipoongeza nguvu tutakwama”,amesema Mh Baisa

Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri  Likapa Nangololo (kushoto)akiangalia mradi wa  kisima cha kuhifadhia maji katika zahanati ya Namikupa

Aidha amesema kuwa kuna baadhi ya miradi inahitilafu ndogo ndogo lakini kwakuwa  Mhandisi wa Wilaya ameiona ataishughulikia ili iwe imara zaidi wananchi waendelee kutumia na kuleta manufaa kwa jamii

Baadhi ya wajumbe wa kamati ya fedha  wakimsikiliza msimamizi wa mradi  wa matundu  vyoo Zahanati ya Namikupa

Naye Mhandisi wa Ujenzi Hassani Msangawenga amesema kuwa miradi ambayo imeonekana na changamoto  zitarekebishwa na itakuwa vizuri “Mapungufu ambayo yameonekana kwa mradi baadhi ya miradi tutasimamia na kurekebisha  kwakuwa uwezekano upo,”amesema Mhandisi

Mhandisi Hassan Msangawenga akitoa maelezo ya mradi kwa kamati ya fedha

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa