• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

Kamati ya Fedha Utawala na Mipango yatembelea miradi ya maendeleo

Posted on: February 2nd, 2023

Na Kitengo cha Mawasiliano

Kamati ya fedha,Utawala na Mipango ya Halmasahauri ya Wilaya ya Tandahimba  imetembelea miradi ya maendeleo ya ujenzi wa nyumba za walimu,ujenzi wa matundu ya vyoo na umaliziaji wa  vyumba vya madarasa inayotekelezwa katika shule za msingi

Ziara  hiyo imeongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Mhe.Baisa Baisa akiwa pamoja  na Timu ya Menejimenti (CMT) Februari 1,2023 ambapo amesistiza kasi katika ujenzi wa miundombinu hiyo kwa kuzingatia mpango kazi wa mradi husika

“Tunamshukuru Rais wa Awamu ya sita  Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa fedha za utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika shule zetu za msingi,mafundi viongozi hakikisheni miradi inakamilika kwa wakati ili iweze kutumika,”amesema Mhe.Baisa

Miradi iliyotembelewa ni umaliziaji wa ujenzi wa chumba kimoja cha darasa shule ya msingi Malamba,Umaliziaji wa ujenzi wa chumba kimoja shule ya msingi Nahnyanga A,umaliziaji wa ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa shule ya Msingi Nahnyanga B

Aidha miradi mingine ni ujenzi wa nyumba ya mwalimu shule ya msingi Machedi kata ya Mkwedu,ujenzi wa matundu 10 ya vyoo na nyumba ya mwalimu shule shikizi Amani kata ya Chaume na ujenzi wa nyumba ya mwalimu shule ya msingi Mnaida kata ya Nambahu

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa