• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

Kamati ya Fedha Tandahimba yatembelea miradi ya maendeleo

Posted on: July 28th, 2022

Na Kitengo cha Mawasiliano

Kamati ya Fedha Utawala na Mipango ikiongozwa na Mwenyekiti wa Halmasahauri ya Wilaya ya Tandahimba Mhe.Baisa Baisa  pamoja na Wataalamu (CMT) imetembelea kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo

Kamati ya fedha ikikagua miradi ya maendeleo

Miradi ambayo imetembelewa na Kamati hiyo  Julai 28,2022 ni Uendelezaji wa Zahanati ya Mitumbati iliyopo kata ya Kwanyama,Ujenzi wa mradi wa chumba cha darasa shule ya msingi Namdowola kata ya Nanhyanga,Ujenzi wa chumba kimoja Sekondari ya Chaume,Ujenzi wa  Shule mpya ya Sekondari ya Mndumbwe,ujenzi wa chumba kimoja cha darasa shule ya msingi Mkwiti

Mradi wa chumba kimoja cha darasa shule ya msingi Namdowola

Aidha wametembelea mradi wa ujenzi  wa vyumba vitatu vya madarasa shule ya msingi Namindondi iliyopo kata ya Ngunja,Ujenzi wa kituo cha afya Litehu,Ujenzi wa sekondari  ya Litehu, Ukarabati wa wodi ya wajawazito zahanati ya kata Mkonjowano na umaliziaji wa maabara ya sayansi shule ya sekondari Lyenje

Wataalamu wakisikiliza taarifa ya mradi kutoka kwa msimamizi wa mradi wa kituo cha afya Litehu (hayupo pichani)

 

Jengo la kufulia kituo cha afya litehu

Akizungumzia ziara hiyo Mwenyekiti Mhe.Baisa amesema kuwa mipango kazi izingatiwe katika miradi ili iweze kukamilika kwa wakati , ubora unaotakiwa pia thamani ya fedha ionekane katika mradi husika

Mwenyekiti Mhe.Baisa akisistiza jambo eneo la mradi

 

Baadhi ya vyumba vya madarasa Sekondari ya Litehu 

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa