• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

HALMASHAURI YA WILAYA YA TANDAHIMBA YAZINDUA PROGRAMU JUMUISHI YA MALEZI,MAKUZI NA MAENDELEO YA AWALI YA MTOTO (PJT&MMMAM).

Posted on: March 5th, 2024

Na Kitengo cha Mawasiliano. 


Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba leo Machi 5,2024  imezindua Programu Jumuishi ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya Mtoto ili kuhakikisha mtoto mwenye umri 0 hadi Miaka 8 anafikia ukuaji timilifu.

Akisoma Hotuba ya Uzinduzi wa programu hiyo kwa niaba  ya Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba  Ndg .Francis Mkuti amesema kuwa  Maendeleo katika ukuaji wa mtoto ni matokeo  ya afua mbalimbali zinazohusisha wadau wa sekta tofauti .

"Ninyi Washiriki ni wadau muhumu na mkifahamu vizuri hii programu mtawafikishia wazazi na walezi kwenye maeneo yote ya Tandahimba kwa weledi wa hali ya juu," amesema Ndg. Mkuti.

Naye Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Ndg.Robert Mwanawima amewasistiza washiriki wa kikao kazi hicho  kuzingatia mafunzo hayo  kwa umakini ili yalete matokeo yenye tija kwenye jamii.

Kwa upande wa wawezeshaji  wameelezea sayansi ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya awali ya mtoto,Umuhimu wa utambuzi wa.mapema.na afua stahiki kwa watoto wenye ulemavu na Muundo wa programJumuishi ua Taifa ya malezi PJT,- MMMAM.

Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba  inashughulikia Malezi , Makuzi na Maendeleo ya watoto wadogo kwa kusimamia haki zao zote za msingi ikiwemo afya,ulinzi na usalama wao ambapo  kuna jumla ya vituo  26 vya kulea watoto wadogo  ambavyo vina watoto 1228,wasichana 697 na wavulana 531

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa