• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

Halmashauri ya Tandahimba yapokea Vitambulisho 2400 vya wajasiriamali wadogo

Posted on: May 27th, 2020

Na. Kitengo cha Habari na Mawasiliano

Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Sebastian Waryuba amekabidhi  vitambulisho  2400 kwa Halmashauri ya Tandahimba ili waweze kuvigawa kwa wajasiriamali katika maeneo mbalimbali ya Wilaya

 Akikabidhi vitambulisho hivyo kwa Afisa Biashara Gerald Mmasi,Dc Waryuba amesema kuwa vitambulisho vya mwaka jana vilikuwa na changamoto za hapa na pale lakini kwa mwaka huu vitambulisho hivyo vimerahisishwa kwa  kutumia mfumo


Watendaji Kata wakikiliza  maelekezo ya ugawaji wa vitambulisho ambavyo kwa sasa vimesajiliwa  kwenye mfumo

“Vitambulisho hivi  2400  vikuuzwa kwa wajasiriamali tunataraji tupate shilingi Milioni 48 hivyo jitihada zifanyike ili tumalize vitambulisho hivi ndani ya miezi miwili kwa kuvigawa kwa wajasiriamali wetu wadogo wadogo ili wafanye kazi kwa uhuru,”amesema Waryuba

 Naye Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Tandahimba Ally Machella amesema kuwa pamoja na kupokea vitambulisho hivyo watendaji wa kata (wasajili) wana jukumu la kuhakikisha fedha hizo zinafikishwa  kwa wakati


Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Tandahimba Ally Machella akieleza jambo kwa watendaji kata

“Wasajili mkipokea fedha  mzifikishe kwa wakati  ili kuepuka vishawishi  kwakuwa fedha hizi ni za serikali zinatakiwa  zikafanye shughuli mbalimbali za maendeleo ambayo yamekusudiwa,”amesema Machella

Aidha amesema  wajasriamali wanatakiwa kuhakikisha wanapata  vitambulisho hivyo kwa gharama ya shilingi elfu ishirini ambapo watadumu navyo kwa mwaka mmoja bila kusumbuliwa  malipo mengine


Baadhi ya Wakuu wa Idara waliohudhuria makabidhiano hayo ya vitambulisho vya wajasiriamali wadogo

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa