• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

Halmashauri ya Tandahimba yatoa zaidi ya Tsh.Mil.228 kwa vikundi

Posted on: December 21st, 2021

Na Kitengo cha Habari na Mawasiliano

Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba imetoa mikopo yenye thamani ya zaidi Milioni 228 kwa vikundi vya wanawake vijana na walemavu

Akikabidhi mfano wa hundi hiyo leo Desemba 21, 2021 katika ghafla fupi iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Halmasahauri Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Patrick Sawala amesistiza vikundi hivyo kuhakikisha wanarejesha kwa wakati fedha hizo ili wengine waweze kupewa.

“Fedha hizi za serikali zinatolewa bila riba ili ziweze kuwasaidia na kukuza kipato, tupo tayari kushirikiana na vijana  ili kuhakikisha mnakuwa kiuchumi kitu cha muhimu ni kuhakikisha fedha hizi zinarejeshwa kwa wakati ili wengine waweze kupata ,” amesema Dc Sawala

Aidha katika hotuba yake amewasistiza wananchi  kuendelea kuchukua tahadhari  dhidi ya Uviko -19 sambamba na kujitokeza kuchanja chanjo ya ugonjwa huo kwaajili ya kujilinda na kujikinga  huku akiwataka kuachana na imani potofu juu ya chanjo hizo.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya TandahimbaMhe. Baisa Baisa amesema mikopo hiyo imetolewa na fedha ya mapato ya ndani ambayo ni asilimia 10 ambapo wanawake asilimia 4,vijana asilimia 4 na walemavu asilimia 2

“Mikopo hii nasisi pia  madiwani tutaisimamia kwakuwa vikundi hivi vipo katika maeneo yetu pia ni wananchi wetu,ili warejeshe kwa wakati na wengine waweze kukopa,wanaohitaji pikipiki au bajaji hatutawakabidhi mkononi fedha,tutawanunulia a kuwakabidhi nia yetu ni njema kuwa mtumiaji anafanya biashara  na analipa marejesho,”amesema Mwenyekiti

Aidha naye Afisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Tandahimba ndugu Aloyce Massau amesema kuwa idadi ya waombaji imeongezeka kwa kiasi kikubwa ambapo imezidi  bajeti kwakuwa jumla ya wote walio omba ilifikia  zaidi ya Bilioni tatu kiwango ambacho ni cha juu

Amesema kuwa  kiasi cha shilingi 228,509 472 zimetumika kugawa kwa vikundi ambapo shilingi 188,101,872 ni mapato ya ndani na shilingi Milioni 40 ni marejesho ya vikundi jumla hiyo imetumika kugawa kwa vikundi  kumi vya wanawake, vijana  vikundi kumi ,walemavu  vikundi saba  na mtu mmoja mmoja watu kumi  

“Katika kipindi hiki vikundi vingi viliomba na kufikia zaidi ya Bilioni tatu ya watu wanaohitaji Mkopo,kiwango ambacho ni kikubwa,kwa wale ambao hawajapata kwa vile mwaka wa serikali bado haujaisha watakavyokuwa wanarejesha tutaendelea kutoa mikopo hiyo kwa wale wenye sifa,”amesema Massau

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa