• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

DED Tandahimba akabidhi vifaa kwa watoto wenye mahitaji maalum katika maadhimisho ya Siku ya Vijana wa Afrika

Posted on: November 26th, 2022

Na Kitengo cha Mawasiliano

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba  Ndg.Mussa Gama  amekabidhi vifaa mbalimbali kwa Shule ya Msingi Mjimpya Maalum ambavyo vimetolewa na Vijana wa Tandahimba katika maadhimisho ya Siku ya Vijana wa Afrika

Akizungumza katika Hafla iliyofanyika katika shule hiyo leo Novemba 26,2022 Mkurugenzi amewapongeza vijana kwa kutoa vifaa hivyo ambavyo vitawasaidia watoto hao ambao wana mahitaji maalum

“Nawapongeza Vijana  kwa  kuadhimisha siku yenu hii kwa kuchangia tabasamu kwa watoto hawa wenye mahitaji maalum,vifaa hivi ambavyo nakabidhi leo ni matumaini yangu  vitatumika  kama ilivyokusudiwa,mmeratibu na  na kuunganisha makundi ya vijana  kufanikisha jambo hili namimi mnipa faraja nizidi kuwaamini vijana ,”amesema Mkurugenzi

Naye Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mjimpya Maalum Bi.Sharifa Machemba ameshukuru na kuahidi kuwa vifaa hivyo vitatumika kama vilivyokusudiwa

Katika maadhimisho hayo ambapo Kauli mbiu ‘Changia Tabasamu kwa Wote’vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba wameweza kununua vifaa vyenye gharama ya Tsh.577,000 na kuwakatia bima ya afya ya ICHF iliyoboreshwa watoto 12 ili waweze kupata matibabu

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa